Habari zenu wanaJf najitokeza kwenu nikiwa na ombi la kukutana na watalaam wa software,na mambo ya kimtandao ambayo sina utalaam nayo
Lengo langu nataka kuanzisha mtandao au website flani hivi zenye, utofauti kidogo na hizi tulizozizoea africa,.
Naamini kwa kushirikiana na watalaam husika tutafanikiwa kwa hilo so njoon pm tujadili