Mzee kweli we Mzee wa kisasa unajua hadi game eti unasema akapiga game.....Anyway kwani huyo rafiki yako yeye ana maamuzi gani kwa hilo alilokutana nalo?
Kama ana pata utamu waje hata kijiji kizima kudadeki
Tena hadithi ya kusadikikaIts Just Like Me!! Naona Hata Filamu Aifai!! Nadhan Ni Kma Hadithi Za Sani.
Mm mwafrika siwesi oa nyumba kama hiyo!Anyway tuna mila tofauti sana sababu Black America sex sio big deal kabisa na hata kiwachanganya mama na mtoto kawaida tuHaya mambo mjukuu yako kweli Africa? Hii familia inakuwaje kuanzia bibi watoto na wajukuu wako hawana wanaume na wanchangia huyo anayejiingiza kwa mmoja wao? Hii ni mila halisi ama ni uchawi? Wewe Malafyale ungeoa kwenye hiyo nyumba? Halafu wote hawa walishaondoka Namibia wako kule majuu.
Ni kisa halisi ndugu yangu. Sijawahi kusikia hadi nimefika umri huu hii ni mara ya kwanza. Siy hadithi wala siyo filamu.
Mtu akizeeka anarudi utoto.Kumekucha sasa amka
Mm mwafrika siwesi oa nyumba kama hiyo!Anyway tuna mila tofauti sana sababu Black America sex sio big deal kabisa na hata kiwachanganya mama na mtoto kawaida tu
Hata baba na mtoto kupiga demu mmoja wenzetu hawana noma
Mtu akizeeka anarudi utoto.
Tena hadithi ya kusadikika
Mtu akikua anarudi utoto.Kumekucha sasa amka
Yaah toka uwe kijana mpaka umeupata umri wako ambapo unadhani jf hakuna mkongwe kama weye hujapata kusikia khabari mpaka alipokueleza rafiki yako.Huenda uko sahihi kwamba nimezeeka sasa narudi utoto. Mtoto akiuliza kwa mtu mzima makini hatukanwi ila hueleweshwa. Sasa wewe mtu mzima, unaweza kuniambia mimi niliyerudi utoto kwamba mambo haya ni ya kawaida?
Hii siyo hadith mjukuu. Mwenizyo akinyolewa wewe anza kutia maji. Haya kama kweli ndiyo maadili ya Nambia, karibu yatafika bongo. Utafanya nini? Lakini wanaofahamu tamaduni za Wanamibia ni kweli wako hivi au ni lifamilia la wachawi malaya tu? Naomba jibu kwa anayefahamu.
Yaah toka uwe kijana mpaka umeupata umri wako ambapo unadhani jf hakuna mkongwe kama weye hujapata kusikia khabari mpaka alipokueleza rafiki yako.
Kifupi umeona comments nyingi humu zikitanabahisha kuwa khabari yako ni chai ilokosa viungo au paukwa pakawa yaani ukweli ni mdogo sana penye hadithi yako.
Uwongo ukizidi hata haunogi
Nadhani hizi khabari si za ukweli kwanza kwa tafakuri yangu pili hata wadau wengi wameonyeshwa kutokuikubali hadithi yako kwa kiwango cha juu.Namna matukio yalivyojipanga unahitaji ushawishi mkubwa haiingii akilini ki mila wala dasturi.Unaweza kuniambia ni kwa nini unadoubt kuwa si ya kweli? Ni vizuri kukubali mengine mapya usiyoyajua badala ya kuishi kwenye wigo wa uliyonayo tu. Kanuni haziruhusu ningeweka picha. Kwa umri wangu hapa sinaga paukwa wala mbwembe za kunywea kahawa. Habari hii ni ya kweli na ndiyo sababu imenitatiza nikaamua kuja kuulizia hapa. Hilo la ajabu ndilo limenifanya kutafuta taarifa kwa wanaojua habari za wanamibia au taarifa sahihi juu ya maisha kama haya hapa duniani.
Mimi na uzee wangu sikuwahi hata kuyafikiria kama yapo.
Kwa nini unadhani kuwa si habari ya kweli?
Huyu nadhani ameshafika stage ya kutolewa nje asubuhi aote jua baadae anaingizwa ndani anasaidiwa kuandika na kilembwe chake ila mtoa mawazo ni yeyeMtu akikua anarudi utoto.
Kiswahili huwa tunamwita wa kuanikwa umenikumbusha mbali kuna waqt hata kumtoa nje inakuwa mbinde inabidi bati ling'olewe ndo mawasiliano yanakuwapo na jua.Sasa kama chuma hiki kimefikia huko ni hatari.Huyu nadhani ameshafika stage ya kutolewa nje asubuhi aote jua baadae anaingizwa ndani anasaidiwa kuandika na kilembwe chake ila mtoa mawazo ni yeye