kiumbempole
JF-Expert Member
- Jan 15, 2016
- 703
- 1,201
Kwa ujumla tupo mbali sana na shule, sisi tunaishi Shinyanga na shule aliyosoma ipo Tanga! kwa hiyo nilikuwa najaribu kupata mawazo ya wadau kama pana njia rahisi zaidi kuyapata bila kulazimika kusafiri (all the way halafu ukathibitishe ni zero πππ....)majina si yapo shuleni yale yalotumika kuwapanga au namba ambayo alikuwa amesajiliwa nayo kwa ajili ya mtihani wa kidato cha nne ina jina ake,so unaweza kwenda shuleni kuthibitisha kwa kuangalia,yeye namba ake ilikuwa ngapi.
kwa hiyo ukienda NECTA Dar wiki ijayo slip za matokeo unapata? Je mwanafunzi mwenye sifuri pia anapata result slip?Kama upo mbali na Necta subiri hati ya matokeo (result script), hutoka wiki mbili baada ya matokeo kutangazwa. Ila hadi ifike shule ni wiki tatu, hadi mwezi!
NECTA ukiwaendea kuwaomba wakupe matokeo kwa majina badala ya namba wanatoa?Nenda NECTA
Sifuri hawatoi result slip, huyo anahesabika kama drs la 7. Mpeleke tu VETA hapo Shinyanga apige fani, atatoka.kwa hiyo ukienda NECTA Dar wiki ijayo slip za matokeo unapata? Je mwanafunzi mwenye sifuri pia anapata result slip?
Hahaha...! kichapo kitakatifu.Mpe kichapo kizuri. Atasema nauhakika
Me niko tanga, mtoto yamesoma shule gani nikusaidie kama itakuwa karibu nami.Wadau naomba kwa anayejua ninaweza kufuata utaratibu gani ili nifahamu matokeo halisi ya mtoto aliyehitimu kidato cha NNE Mwaka Jana.
IPO hivi: namba anayotaja mtoto inaonyesha kapata division four lakini kuna Mwalimu alimfundisha amenipigia kunipa pole kwamba mtoto amefeli kapata D moja tu,yaani kazungusha!
Tatizo mtoto anasisitiza kwamba Mwalimu anamsingizia na Mwalimu nimerudia kumpigia anasisitiza mtoto kafeli....! Nimechanganyikiwa natamani nipate matokeo yenye majina ili niweze kuamua vema.
Msaada wenu wadau
ππππunaweza kumchapa kumbe yeye ndiye yupo sahihi, utakuwa umemuonea mkuuMpe kichapo kizuri. Atasema nauhakika
ni wilaya ya Kilindi mkuu, karibu na Handeni hukoMe niko tanga, mtoto yamesoma shule gani nikusaidie kama itakuwa karibu nami.
ndio maana nahitaji uthibitisho ili niamue jambo sahihi kabla muda haujapita sanaSifuri hawatoi result slip, huyo anahesabika kama drs la 7. Mpeleke tu VETA hapo Shinyanga apige fani, atatoka.
Hakuna kitu kinachoumiza kwa mtoto kama kufeli.Mara nyingi watoto wanajitahidi wawe kama wenzao wanaopasi,lakini wanashindwa,kuna matatizo mengi yanawakuta watoto wakiwa wadogo kamash
Kwa ujumla tupo mbali sana na shule, sisi tunaishi Shinyanga na shule aliyosoma ipo Tanga! kwa hiyo nilikuwa najaribu kupata mawazo ya wadau kama pana njia rahisi zaidi kuyapata bila kulazimika kusafiri (all the way halafu ukathibitishe ni zero πππ....)
NECTA wana jina na namba vyote vitumika kwa pamojaNECTA ukiwaendea kuwaomba wakupe matokeo kwa majina badala ya namba wanatoa?