Msaada: Kusoma majibu ya Maambukizi ya VVU

Tariq hassan

New Member
Dec 31, 2023
4
2
Mnisaidie kusoma majibu ya hicho kipimo.

IMG_20240118_144115_755.jpg
 
😅 😅 😅

Tariq umejiunga tarehe 31-DEC-23, kwa utaratibu wa PEP wiki za kutumia PEP zimeisha

So ni vyema uende vituo vya afya
 
Niliwahi kupima kwenye hospitali fulani hivi ya Serikali mkoa mmoja wa kusini mwa Tanzania. Nilikutana na watu kadhaa (hawakuzidi kumi) na mimi nilijiunga nao. Baada ya kusubirishwa kupata majibu hapo ndipo watu walipoanza kujipokelesha simu zisizoeleweka. Yaani unaona kabisa unaolia ni mlio wa alarm lakini mtu anaitia simu sikioni chapu na kuanza kuongea.
"Mkuu, nawahi kwa sasa ndio natoka hospitalini" baada ya hapo anaondoka kwa kasi ya umeme
 
Back
Top Bottom