Msaada: Kusafirisha samaki nje ya nchi

kitumbotala

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
516
Reaction score
625
Wakuu habari zenu,

Naomba msaada,

Utaratibu juu ya kusafirisha samaki waliokaangwa na kukaushwa vizuri kwenda nchi za nje kwa ujazo wa 10kg. Nifanyeje au kuna utaratibu gani katika hili swala natuma kama zawadi Ulaya na Marekani.

Karibuni waungwana kwa mawazo yenu
 
Wazungu kwenye mambo ya chakula wapo makini sana. Google conditions za kutuma samaki USA and European Union utapata majibu.
 
Kwanza tafuta soko then nenda Tdfa watakupa taratibu zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…