Msaada kurudisha sauti kwenye king'amuzi cha startimes

Msaada kurudisha sauti kwenye king'amuzi cha startimes

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
823
Reaction score
216
habarini wadau naomba msaada jinsi ya kurudisha sauti kwenye baadhi ya chaneli kwenye king'amuzi cha startimes kwa sababu kuna chaneli baaadhi kama itv eatv Muvi tv sisikiii sauti lakini chaneli nyingine fresh naomba mnisaidie asanteni sana
 
Bofya TRACK kwenye rimote,then badili STEREO/LEFT/RIGHT.
 
kuna steshen ina muvi za kinaijeria haina sauti tangu jana
 
asante sana sana nimefanikiwa!!!! japo muvi tv bado sauti haijarudi lkn zngine fresh

Kwa upande wa Muvi TV nina wasiwasi huenda ni signal inakuja bila sauti. Na mimi nina hilo tatizo. Tusubiri tu hakuna jinsi.
 
Back
Top Bottom