MSAADA:Kurisiti form four

MSAADA:Kurisiti form four

Vizuri sana aisee hongera ulipambana haswa

Japo sasa nasoma, lla sidhani kama itatokea mimi kupiga msuli kama ule wa kurisiti.

RESITORS wengi hawajitumi.
nikijitolea Mimi mfano, kwa mwaka 2016, nilifanya mitihani ya kujipima zaidi ya 70. Na baadhi ya niliosoma nao hawajafanya mtihani wa kujipima hata mmoja.
 
Japo sasa nasoma, lla sidhani kama itatokea mimi kupiga msuli kama ule wa kurisiti.

RESITORS wengi hawajitumi.
nikijitolea Mimi mfano, kwa mwaka 2016, nilifanya mitihani ya kujipima zaidi ya 70. Na baadhi ya niliosoma nao hawajafanya mtihani wa kujipima hata mmoja.
Tatizo mimi naona ni wengi kutokua serious na pia kuchukulia kama walishapitia huko wanaona ni kama wanaelewa kila kitu pia wengine ni kutokana na kuwa na majukumu mengi.
 
ndugu kwa uhakika zaidi ni bora ungeenda kwenye kituo chochote cha kurisiti kilicho karibu nawe upate maelezo zaidi
 
c909444a0563a5ff44ddcda7ffbd2c5d.jpg
 
Wadau wa elimu,
Naombeni kupewa utaratibu wa kurisiti kwa sasa mtihani wa kidato cha nne.Mimi nilikuwa naujua utaratibu wa zamani ambapo mtu alikuwa akirisiti mitihani idadi anayoitaka ili kusafisha cheti chake kama ambavyo aliona inawezekana.Sasa nasikia kuna mabadiliko kwenye sheria na utaratibu wa kurisiti ambao bado sijaujua.Nina wadogo zangu wanataka kurisiti sasa wananitaka ushauri na kwakuwa nawafahamu uwezo wao siwezi kuwashauri chochote mpaka nitakapojua utaratibu wa kurisiti,idadi ya masomo ya kurisiti,kama cheti cha kwanza kinafutwa au hakifutwi ila unareplace failed subjects na mengine ambayo yanahusiana.
Nawakaribisha sana kwa msaada tafadhali.
Unarudia nasomo kwa idadi unayota na uliyofanya vibaya
Mfano masomo 3 au 5 au 9
 
Utaratibu huo uliisha mwaka 2015.
Sasa ni mtihani mmoja mnafanya wote. PC NA SCHOOL.
Nilirisiti 2016, Nikafanikiwa vizuri. Ila siwezi sahau ule msuli wa kusoma kukabiliana..........
mkuu ukiresit unaweza ukaenda vyuo vya diploma vya serikali?
 
Nikikumbuka nmesoma form four mara 3 bc naishiwa na nguvu za kiume.
1. SC
2. PC nikapata D zote
3. Nikaambulia C3 na D2
Nikaenda 5 na 6 kwa mwaka mmoja na sasa nmemaliza diploma na nmejipa likizo ya kuendelea kusoma kwa muda usiojulikana
 
Wakubwa me nna D 6 naom
beni ushauri
Hapa mm ndo sielewagi, kuna wengine wanasema unaweza kusoma diploma na wengine kama mm tunasema uanze na certificate au urudie form four ili upate alama za kwenda 5 na 6.

Kuhusu ushauri, em ww anza kujishauri mwenyew ndipo utushirikishe ulichojishauri
 
Back
Top Bottom