Wamtaa huu
Senior Member
- Jan 21, 2011
- 168
- 55
Wadau wa elimu,
Naombeni kupewa utaratibu wa kurisiti kwa sasa mtihani wa kidato cha nne.Mimi nilikuwa naujua utaratibu wa zamani ambapo mtu alikuwa akirisiti mitihani idadi anayoitaka ili kusafisha cheti chake kama ambavyo aliona inawezekana.Sasa nasikia kuna mabadiliko kwenye sheria na utaratibu wa kurisiti ambao bado sijaujua.Nina wadogo zangu wanataka kurisiti sasa wananitaka ushauri na kwakuwa nawafahamu uwezo wao siwezi kuwashauri chochote mpaka nitakapojua utaratibu wa kurisiti,idadi ya masomo ya kurisiti,kama cheti cha kwanza kinafutwa au hakifutwi ila unareplace failed subjects na mengine ambayo yanahusiana.
Nawakaribisha sana kwa msaada tafadhali.