Mupirocin
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,763
- 819
Wakuu habari za usiku: ninamdogo wangu mkorofi kidogo nilikuta kafuta data zangu zote ambazo nilikuwa nimezihifadhi kwenye external yangu ambayo ilikuwa imeunganishwa kwenye desktop, nimetafuta kwenye recyclebin sijaziona. Naomba mwenye maujanja namna ya kuziback up nizipate msaada jamani, mambo yangu ya muhimu nimepoteza.
Natanguliza shukrani
Natanguliza shukrani