mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,663
- 18,037
Kuna mwanamume ana miaka takriban 50. Aliniomba ushauri wa jinsi ya kupunguza uzito. Ana kilo 85, lakini kwa urefu wake anahitaji kuwa na uzito wa kilo 70. Je afanyeje kupunguza uzito! Amejaribu njia ya kufanya mazoezi imeshindikana! Mazoezi yamemsaidia kuwa mkakamavu lakini uzito haujapungua.
Amejaribu kupunguza kiasi cha chakula anachokula lakini uzito haukukungua! Aliacha kutumia kifungua kinywa na chakula cha mchana kwa na kubaki na mlo mmoja wa jioni saa12. Uzito ulipungua kwa nusu kilo tu kwa miezi 3.
Je afanyeje? Karibuni kwa wanaojua njia nyingine salama za kupungua uzito!