MTU ALIYE NYIKANI
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 345
- 457
Jamani nimepotelewa na wallet yangu wakati nikiwa ndani ya gari nikitokea Mkoani Lindi maeneo ya Mbagala.
Ndani kuna vitambulisho mbali mbali vyenye majina ya ZENA K KALOMBI, pamoja na nyaraka nyingine.
Tafadhali atakayevipata naomba apeleke kituo chochote cha polisi au tuwasiliane: zenakazumarikalombi@gmail.com.

Last edited by a moderator: