Msaada kupata magazeti ya sani

mkuu huyu mwamba alikuwa fundi sana iv hakuna makala zilizoko pdf tuzitafute alikuwa ananikosha sana mazoez ya Bush star nizaid ya Tpdf kukwepa mishare kupikwa kweny chungu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jamani nimekumbuka mbali, nilikuwa napenda kuyasoma nilikuwa namuibia dadaangu naenda nayo shuleni, [emoji2]
Kuna lingine lilikuwa linaitwa bongo sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana muhenga Kuna rafk angu nilikuwa naongea nae akanikumbusha team ya bush star πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚daa way back on the days tulikuwa tunainjoy sana aya ma vitu
 
ile floor ya kwanza ndio yapo, achana na ground floor, ila Lodi Lofa fala sana
daaa kitambo sanaaaa ngoja nikipata muda nikachek mzigo na hamu na timu yangu pendwa ya bush star chini ya injinia captain wa kikosi mapong'o

Shukran sana mkuu πŸ‘
 
Wakuu nami nahitaji kopi zote za hayo magazeti....

Nazipataje?
 
Nilikuaga nayo mengi sana, ila kwa sasa sina hata moja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…