Msaada kuongeza speed ya moderm kutoka 2g to 3g

Msaada kuongeza speed ya moderm kutoka 2g to 3g

Tychob

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
4,238
Reaction score
5,647
Wakuu naomba msaada wa kuweza kungeza speed ya modem yangu. Hili tatizo limeanza takribani wiki tatu zilizo pita inasoma 2g mda wote na speed ni ndogo sana...
 
Wakuu naomba msaada wa kuweza kungeza speed ya modem yangu. Hili tatizo limeanza takribani wiki tatu zilizo pita inasoma 2g mda wote na speed ni ndogo sana...

SET isome WCDMA only au 3G Only

kwa huawei nenda Tools>>>>options>>>>network>>>>>network type
 
MKUU na za voda pia tunatumia njia hiyo?

Mkuu hii ni kwa settings za Ku set modem yoyote ya Huawei isome 3G only

Na hii ni kwa modem yoyote ya Huawei iwe na line ya Vodacom,Tigo,zantel,smile,zanlink etc

Kama una Modem ya ZTE basi sema watumiaji watakupa trick
 
mkuu hii ni kwa settings za ku set modem yoyote ya huawei isome 3g only

na hii ni kwa modem yoyote ya huawei iwe na line ya vodacom,tigo,zantel,smile,zanlink etc

kama una modem ya zte basi sema watumiaji watakupa trick

asante mkuu
 
Back
Top Bottom