nova launcher ndio hutumika sana,Ila sorry kwa usumbufu mkuu naomba unihelp launcher ambayo italeta muonekano mzuri ktk hii simu yangu niweze kuenjoy endapo sijaroot
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
kama unaogopa achana nayo, kwanza siku hizi mambo mengi unafanya bila rootNimeiona but ni njia ndefu sana hapa kuna mawili kufaulu na kufeli maana kuflash simu km tecno hizi w4 or w3 ni ngumu sana sometimes naogopa kuua simu
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
zipo za bure na kulipia, pia zinaweza kufanya simu iwe slow.Icon pack inatolewa free au kwa kulipia
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Ni kweli mm naogopa kuroot but nimesharoot simu aina mbalimbali kwa nilizowahi kumilikikama unaogopa achana nayo, kwanza siku hizi mambo mengi unafanya bila root
tutorial hii hapa kwa android 6 kupanda
How to Adopt SD Card in Android Marshmallow: 15 Steps
ila hakikisha una memory card yenye speed hizi za kichina za mtaani hazifai. ya uhs 1 au 3 ni nzuri zaidi.
hio ni fake kwanza, halafu hizo mb ni sawa, ni 2GB ndio inavyokuwa, haikamiliki kabisa.Na mfano sd card nime test kwa app ya sd insight inasoma hivi wakati ni ya 2gb
View attachment 609105
zote ni class 10 zinafaa.Hapa aina gani ina faa mkuu na ipi haifai?View attachment 608983 View attachment 608984 View attachment 608985 View attachment 608986