fundibenz
Member
- Jul 31, 2015
- 61
- 67
Habari,
Kuna software inabidi niweke kwenye android tablet bahati mbaya nikanunua tablet kabla software haijaja, inahitaji tablet yenye Gb 16, mimi yangu ina 8 GB hiyo baadhi ya updates zinagoma kuingia.
Nimeweka memory card 4Gb sasa nataka kuifanya iwe internal.
Nahitaji mtaalamu wa hii kazi, niko tayari kulipia gharama za kazi /muda.