Msaada; Kuonekana kwa Onlive video ya aina yoyote kwa Internate. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada; Kuonekana kwa Onlive video ya aina yoyote kwa Internate.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Neiwa, Jul 13, 2012.

 1. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Wakuu,

  Naomba kujua tatizo ni nini? Natumia Mozila or Google chrome na rarely Explorer kwa ajili ya shughuli zangu za internet. Naomba kujua ni kwa nini nikitumia Mozila Firefox nashindwa ku access video Links and websites but kwa Google Chrome na Explorer haina shida. Napenda zaidi nitumie Mozila, naomba maelekezo nakosea wapi.. Natumia version (sijui yaitwa hivo) Firefox 11.0

  Shukrani.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  install plugin za adobe flashplayer au uiupgrade kwenda firefox 13
   
 3. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Fuata ushauri hapo juu
   
 4. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Wakuu ndetichia na abulzahra, nimefuata ushauri, nime install adobe flashplayer imegoma, labda nimekosea niliyo instal mnipe msaada wa Link ni download. Fire fox yangu inaji upgrade automatically nilipo jaribu upgrade to hio '13' nimekuta ndio iliyopo tayari.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
Loading...