Jimjuls JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 486 Reaction score 168 Jan 7, 2015 #1 Flash disk(8 GB) yangu imeingiwa na " Skypee" worm. Naomba msaada wa jinsi ya kuiondoa.
ndupa JF-Expert Member Joined Jan 25, 2008 Posts 4,403 Reaction score 151 Jan 7, 2015 #2 Jimjuls said: Flash disk(8 GB) yangu imeingiwa na " Skypee" worm. Naomba msaada wa jinsi ya kuiondoa. Click to expand... Tumia kaspersky iliyo "updated" then scan flash na kompyuta kwa ujumla...HAMNA KITACHOBAKI...!!
Jimjuls said: Flash disk(8 GB) yangu imeingiwa na " Skypee" worm. Naomba msaada wa jinsi ya kuiondoa. Click to expand... Tumia kaspersky iliyo "updated" then scan flash na kompyuta kwa ujumla...HAMNA KITACHOBAKI...!!
Jimjuls JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 486 Reaction score 168 Jan 7, 2015 Thread starter #3 LORDVILLE said: Tumia kaspersky iliyo "updated" then scan flash na kompyuta kwa ujumla...HAMNA KITACHOBAKI...!! Click to expand... Nimetumia antivirus ya Kaspersky lakini inaonyesha message ya " Worm.Autoit failed to disinfect"
LORDVILLE said: Tumia kaspersky iliyo "updated" then scan flash na kompyuta kwa ujumla...HAMNA KITACHOBAKI...!! Click to expand... Nimetumia antivirus ya Kaspersky lakini inaonyesha message ya " Worm.Autoit failed to disinfect"
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,856 Reaction score 61,917 Jan 9, 2015 #4 Tumia pc ambayo ipo clean na ina smadav ,plug in flash yako af skilizia,ila kama iyo pc nayo ina hao worms, kazi bure
Tumia pc ambayo ipo clean na ina smadav ,plug in flash yako af skilizia,ila kama iyo pc nayo ina hao worms, kazi bure