Msaada kununua desktop

Msaada kununua desktop

Mastabenja

Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
25
Reaction score
6
Habar wana jf naombeni msaada nataka kununua desk top used nifahamisheni yafuatayo maana mi siyo mtaalamu kabisg wa mambo haya
1.ni mambo gani ya juangalia ili upate mashine nzuri_mambo ya ram,hd ,pentium nayapatapata kwa mbali sana nahitaji kujuzwa zaidi
2.ntapata maeneo gani mjini dsm
3.niandae kama kiasi gani
 
Watakuja sasa hivi me najiunga nawe kusubiri!
 
RAM: Atleast 1 GB
PROCESSOR: Atleast 1.8 GHZ
HD: Inategemea na matumizi yako,ila kwa dunia ya sasa atleast 160 Gb
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom