Watalaam wangu nimedownload hii app ya mobdro ktk KASIMU kangu tecno h6 lakini kila nikifungua channel ili niangalie game mfano skysport unaangalia dk3 halafu inaseach tena na mtandao unasoma H tatizo ni nini!
Mtandao kusoma H ndugu haina maana una full aces ya internet. Mtandao unaweza soma H lkn mawimbi yakawa yanasumbua hivyo jaribu kuwa una badili uelekea kukingana na sehem ulipo.