Hilo tatizo linaitwa vent prolapse
Inatokana na kuku kukosa madini ya calcium
Pia amewahi kutaga kabla ya umri wake
Ushauri mchinje tu ...pia zingatia uwepo wa madini ya calcium na phosphorous kwenye chakula chao hasa dagaa, au nunua dcp wawekee kwenye chakula chao