ibrahim yusuf
New Member
- Mar 26, 2017
- 2
- 1
Habari mimi ni mara ya kwanza kuanza kufuga kuna kuku wawili sehemu ya haja kubwa imetoka njee hili ni tatizo gani?
Ukiambatanisha na picha itasaidia zaidi.Habari mimi ni mara ya kwanza kuanza kufuga kuna kuku wawil sehemu ya haja kubwa imetoka njee hili ni tatizo gani?
Nenda maduka ya dawa za mifugo watakwambia tatizo na kukupa tiba.Habari mimi ni mara ya kwanza kuanza kufuga kuna kuku wawil sehemu ya haja kubwa imetoka njee hili ni tatizo gani?
Ukiambatanisha na picha itasaidia zaidi.