Wakuu niko kwenye mtihani mkubwa ambao sijui chanzo chake ni nini!
Nimepatwa na tatizo, nakosa msisimko wa kugegeda kwa muda wa miezi miwili sasa, Leo nilikuwa na demu hata yeye akanishangaa na kuniambia mbona huna nyege?
Ukweli ni kwamba najijua niko vizuri kitandani kwani kama miezi mitatu iliyopita nimewahi kuwagegeda hadi wadada watatu kwa siku moja na wote wakaridhika!
Naombeni msaada wa jinsi ya kunirudishia mzuka(nyege) ili niendelee kufurahia maisha! Kuna dawa za kuongeza ashiki??