faru joni
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 478
- 733
Habarini ndugu zangu pole na miangaiko ya hapa na pale
Niende kwenye maada moja kwa moja,
Baada ya kuangaika kutafuta ajira pasipo mafanikio yeyote nikaamua kuwatafuta wenzangu takribani 8 tuliosoma pamoja, tukaja na wazo wa kufungua shirika lisilo la kiserikali, baada ya kukubaliana kwa pamoja tukaanza harakati
Tulifanikiwa kupata jina,tukaanza usajili ngazi ya kata, wilaya na tukafanikiwa kumaliza kwa ngazi ya mkoa
Baada ya ngazi ya mkoa tukaambiwa tupeleke document zetu wizarani (maendeleo, jinsi na watoto) kule dodoma tukafanya ivyo
Baada ya kufika mkoani dodoma tukaambiwa tusubiri mpaka pale tutakapopigiwa simu
Tangu mwezi wa 2 mwaka huu mpaka muda huu ninapoandika hapa hatujapigiawa simu
Sisi wote 8 kwenye kikundi chetu Tumesomea mambo ya ulinzi na usalama wa miundombinu ya technolojia (CYBER SECURITY) ngazi ya DEGREE
Tulijichanga sana pale ilipoitajika pesa ya ku solve mambo madogo madogo ya usajili, na tuna malengo makubwa sana ya kujikomboa na dimbwi ili la ukosefu wa ajila na sio ivyo tu nia na madhumuni yetu makuu ni ku solve matatizo yanayosumbua jamii zinazotuzunguka ususani kwenye field hii ya mambo ya CYBER SECURITY
Mpaka muda huu tumekwama kwenye ngazi ya wizarani
Tunaomba yeyote anayeweza kutusaidia tuweze kuvuka hapo na kupata usajili atusaidie ili tuweze kuendelea na mambo yetu tuliokusudia kuyafanya kupitia taaluma hii yetu
Shirika letu litakuwa linausiana na mambo ya CYBER SECURITY
Wizarani tumeenda mara nyingi (mara ya mwisho ni week hii jumatatu) jibu lao ni moja tu subirini mpigiwe simu
Msaada wenu wapendwa, tunaamini jamii forum kuna watu wengi wenye nyadhifa mbalimbali
Shida yetu sio msaada wa pesa no, shida yetu tupate kusajiliwa tu basi
Karibuni sana kwa msaada