Mzee23 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2014 Posts 1,742 Reaction score 3,673 Jan 1, 2021 #21 Goguryeo said: Ujitoe kwenda wapi? Utuache peke yetu tunaicheza hii ngoma, aàah wapi usitutanie.. Tumeanza pamoja ,tutamaliza pamoja.. Minne tena..... Click to expand... Husemi uongo ndugu yetu[emoji3]
Goguryeo said: Ujitoe kwenda wapi? Utuache peke yetu tunaicheza hii ngoma, aàah wapi usitutanie.. Tumeanza pamoja ,tutamaliza pamoja.. Minne tena..... Click to expand... Husemi uongo ndugu yetu[emoji3]
Nas Mapesa JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 5,286 Reaction score 5,423 Jan 1, 2021 #22 Kipindi cha uchaguzi walimu wanajua upuuzi walioufanya,posho imekata sasa ni wakati wa malalamiko
F fredrick nyondo Member Joined Feb 4, 2019 Posts 18 Reaction score 13 Jan 1, 2021 #23 Huwezi kujitoa kwa kuwa ulisaini na kukubali kwenye mkataba wakati unaanza kazi
Nafaka JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 12,390 Reaction score 32,000 Jan 1, 2021 #24 Nas Mapesa said: Kipindi cha uchaguzi walimu wanajua upuuzi walioufanya,posho imekata sasa ni wakati wa malalamiko Click to expand... Mkuu kwani walifanya nini, mbona mnawaangushia lawama nyingi?
Nas Mapesa said: Kipindi cha uchaguzi walimu wanajua upuuzi walioufanya,posho imekata sasa ni wakati wa malalamiko Click to expand... Mkuu kwani walifanya nini, mbona mnawaangushia lawama nyingi?
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 53,973 Reaction score 131,458 Jan 1, 2021 #25 Naskia ukiwa mwalimu bc umeshajiunga automatically
Offshore Seamen JF-Expert Member Joined Mar 9, 2018 Posts 6,045 Reaction score 15,601 Jan 1, 2021 #26 Mwalimu, Bwana Adrian Mkoba ambaye ni katibu wa CWT usikute yumo anakuangalia unavyolalamika.
King klax JF-Expert Member Joined Jul 10, 2015 Posts 4,788 Reaction score 3,306 Jan 1, 2021 #27 Allan Clement said: Mkuu uchaguzi huu huwezi kuwalaumu walimu kabisa Click to expand... Tatawalaumu kwasababu hamkatoa mchango wowote wakati nyinyi mlikuwa wasimamizi na mawakala wa upande wa bwana mkubwa,,, Toeni elimu kwa wananchi haki zao ni zipi na wananchi watakuwa mstari wa mbele kuwatetea
Allan Clement said: Mkuu uchaguzi huu huwezi kuwalaumu walimu kabisa Click to expand... Tatawalaumu kwasababu hamkatoa mchango wowote wakati nyinyi mlikuwa wasimamizi na mawakala wa upande wa bwana mkubwa,,, Toeni elimu kwa wananchi haki zao ni zipi na wananchi watakuwa mstari wa mbele kuwatetea