Chama cha ajabu sana hicho,kinakula hela za bure.Wadau,
Heri ya mwaka mpya, Bila shaka humu wapo watu mbali mbali,
Naombeni msaada wa kujitoa kwenye hili JINI nyonyaji CWT
Nataka kujitoa kwasababu zifuatazo:
1. Chama hakina msaada wote kwangu zaidi ya kukata %2
2. Mwaka wa 7 huu hakuna daraja wala nyongeza chama lipo tuu.
3. Mapato na matumizi ya miradi ya chama haijulikani
Siyo nyie kwenye uchaguzi mlikuwa upande wa bwana Mkubwa,,Wadau,
Heri ya mwaka mpya, Bila shaka humu wapo watu mbali mbali,
Naombeni msaada wa kujitoa kwenye hili JINI nyonyaji CWT
Nataka kujitoa kwasababu zifuatazo:
1. Chama hakina msaada wote kwangu zaidi ya kukata %2
2. Mwaka wa 7 huu hakuna daraja wala nyongeza chama lipo tuu.
3. Mapato na matumizi ya miradi ya chama haijulikani
4. Chama haijulikani kinatetea maslahi ya mwajiri au mwanachama.
5. Chama kimeshindwa kutoa majibu ya kueleweka kuhusu madai ya wanachama
''Kutetea maslahi'' [emoji3][emoji3][emoji3]Kazi ya chama ni pamoja na kutetea maslahi ya wanachama wake
Baba apige kitu Cha forei, Hawa walimu wametusaliti sanaSiyo nyie kwenye uchaguzi mlikuwa upande wa bwana Mkubwa,,
Mbona hamkuwa upande wa wananchi,,tunawachora tu,, mmesahau posho za uchaguzi, mmekula zimeisha,,
Baba minne tena-------
Hili jini saccos ya wazee wa mi 5 tena, ukiligusa wanakuandama.Inahusianeje na jini CWT?
AseeUjitoe kwenda wapi? Utuache peke yetu tunaicheza hii ngoma, aàah wapi usitutanie..
Tumeanza pamoja ,tutamaliza pamoja..
Minne tena.....