Waungwana ninataka kujenga ukumbi ambao utakuwa kwa matumizi mbalimbali. Walengwa ni watu wa harusi, mikutano na semina. Ukumbi nategemea kuujengea Kibaha.
Nitazingatia facilities kama parking na usalama uwepo.
Msaada ambao nahitaji kwa allocation hiyo ni target capacity gani na kuna vitu vingine vya kuzingatia ktk biashara hii. Natanguliza shukrani zangu.
Nashukuru sana sana kwa walio onyesha interest.
Mrejesho.
Toka Oct 2013 hadi leo nimemsliza boma bila kukopa na bila kutumia nguvu nyingi na bila kukopa. Imekuwa safari ndefu ya miaka 5 lkn ktk kipindi cha miezi 6 toka sasa kuna watu wengi wameni approach kutumia eneo kwa matumizi mbalimbali. Mmoja akisema iwe shule inauwezo wa kuchukua watoto hadi 3000 still harusi na mikutano itaendelea.
Kwa kifupi miradi inayohusisha majengo hasa kama eneo ni kubwa ni BINGO. ASANTENI SANA WADAU.