Msaada kujaza fomu ya HESLB 2016

mamulisios

New Member
Jul 3, 2016
4
0
Jamani nsaidieni ktk kipengele cha data za form four kwenye ile fomu ya mkopo hapafungui kwanini msaada jamn
 
Picha inagoma jamani anaye jua atoe msaada hapa tafadhali
Weka picha kwenye computer yako...... Then right click, nenda kwenye option ya edit.
Ingia hapo picha yako italoadiwa then tafuta sehem imeandika resize.
Km kuna sehem imeandika percentage na nyingine pixels, click kwenye pixels halaf type 150 kwa 120 weka ok then save kwa jina unalotaka.
I..upload hiyo picha itakubali tu.
Km kuna shida unasema.
 
Aksante Rafiki nimefanya hivyo na imekubali.
Mungu akubariki sana
 
Vipi wakuu, kama nimesoma diploma na sasa nataka kusoma degree.. vipi naruhusiwa kuomba mkopo?
 
Back
Top Bottom