Msaada kuifungua hii sim

Msaada kuifungua hii sim

BALAGASHIA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
392
Reaction score
383
b204b1b7c512c6ac718e48abbf244da5.jpg
7ba86ccc9b817335f65e9a70d7f7cb86.jpg
 
Kufungua nini maana picha sijaiona kwangu, toa tu maelezo tusaidiane
 
SPD hiyo, tuma imei zake kwenda namba 15090 za TCRA na utaambiwa simu yako ni bandia na imefungiwa japo kama unataka kufanya ubishi inaweza kurudi hewani.
 
SPD hiyo, tuma imei zake kwenda namba 15090 za TCRA na utaambiwa simu yako ni bandia na imefungiwa japo kama unataka kufanya ubishi inaweza kurudi hewani.
Unaweza ukanisaidia kupata msaada wa kuifungua
 
Kabla ya lile tangazo Lao, ilikuwa ni kazi ya dakika moja tu, Ila katika tangazo Lao wametaja jela mule, sasa Nani anataka Kwenda jela mkuu? Inawezekana Ila mi simo...sifanyi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom