Habarini wakuu?? Nina tatizo kidogo apa, jana nilinunua kingamuzi cha zuku, nikalipa na wakaja mpaka home wakafunga fresh, ila station zikawa hazipatikani wakatuambia baada ya mda zitakuwa hewani, toka jana mchana had sasa ivi hakuna station ninayoipata, jana niliwauliza wakasema sijui wametuma email kenya so nisubir tu had waniungashie, mpaka sasa iv ninavyoongea hakuna cha channel wala nn, je izi ndo taratibu za zuku au vip?? Maana siwaelewi
mkuu yawezekana fundi dish lilimuona.kama ulimlipa jua umeshaibiwa tayari .tafuta fundi mzuri aset hilo dish vizuri na ninakifahamu ktk ving'amuzi vyote zuku huwa haisumbui
basi kama hivyo kuwa na subira watafungua ila kwa kweli zuku hawawajali wateja kabisa.bora ungenunua azamYAAN kila kitu tayar kasha set na channel zinapatikana tatu tu tena zinaonyesha vizur bila kukwama,ila ndo hvyo nyingine hazionyesh ukiwapigia wanakwambia mar sijui wanaunganisha soon maana wanadai account inasajiliw nairob ,mpaka sasa iv hamna kitu ,maana wanasema kuna kifurush cha zuku classic unapewa bure mwka mzima ila mpaka sasa hakuna kitu
ndo utaratibu wao mkuu ni lazima wawasiliane na makao makuu yao huko ulaya then ndo akaunt yako iwe confirmed.. sasa wapigie kwa namba hii kisha uwatajie akaunt namba yako
+255768984200