kilama JF-Expert Member Joined Jul 14, 2015 Posts 2,811 Reaction score 2,152 Feb 10, 2016 #1 wadau nimelipia hapa king'amuzi za zuku mwanzo zilikubali lakini kwa sasa kila chanel nikifungua inaniandikia no signal, hvyo naombeni msaada wadau
wadau nimelipia hapa king'amuzi za zuku mwanzo zilikubali lakini kwa sasa kila chanel nikifungua inaniandikia no signal, hvyo naombeni msaada wadau
King klax JF-Expert Member Joined Jul 10, 2015 Posts 4,774 Reaction score 3,279 Feb 10, 2016 #2 Inawezekana dish limecheza mtafute fundi wa kuseti ving'amuzi atakusetia