king kaka 1999 og
New Member
- Jul 23, 2020
- 1
- 21
Naomba msaada na ushauri namna na jinsi ya kutengeneza account Youtube mpaka kufikia hatua ya malipo hatua ya malipo.
Mwenye ujuzi na utaalam huo naomba mawazo yenu na pia tuelekezane sote ni vijana.
Tulio wengi hatuma kazi naamini kuna watu wanaweza badili maisha yao kupitia njia hii ya youtube. Kwa msaada wa mawazo tunayochangia pamoja.
Ajira ngumu pengine mitandao ya kijamii inayo zalisha pesa kwa njia ya mtandao ndio ajira.