Msaada kuhusu youtube

Msaada kuhusu youtube

Mr Confidential

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,545
Reaction score
2,486
Nimeamua kuifanya YouTube channel yangu iwe na access ya matangazo (ads) ili nipate hela.

Nina subscribers wawili tu hadi sasa. Na pia nimeupload video moja tu.

Pia naomba maelezo, naskia kuna kulipia channel za YouTube TCRA.

Hapa nilipofikia nini kinahitajika kingine?
Screenshot_2018-08-10-16-40-26.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cc daudithefarmer
 
Nadhani unafanya vlogging huku umetanguliza pesa mbele ni dhahiri hauna passion na vlogging utaangukia pua.
Naomba nikushauri kwanza lazima ufanye video blogging kama passion then itakulipa tu.Kama umeshawahi kutengeneza blog kwa kutumia blogger kwenye kitufe cha monetisation utaona wamekuandikia "convert your passion into earning"
 
Fuata huu ushauri mkuu.

Ukitanguliza hela mbele usitegemee kufanya kitu cha maana.
 
Inabidi utimize hiko kipengele cha 4 ndo wakufikirie kama utaweza kuweka matangazo. Subscribers 1,000 na watch hours 4,000 katika miezi 12 iliyopita.
 
Malipo yapoje kwan? Unapata kiasi gani kama hao viewers 1000 wakisoma tangazo lao
 
Nadhani unafanya vlogging huku umetanguliza pesa mbele ni dhahiri hauna passion na vlogging utaangukia pua.
Naomba nikushauri kwanza lazima ufanye video blogging kama passion then itakulipa tu.Kama umeshawahi kutengeneza blog kwa kutumia blogger kwenye kitufe cha monetisation utaona wamekuandikia "convert your passion into earning"
Nahisi Ndo Maelezo Sahihi Uliyompatia, Akiyafata Hay a hakika Ataona Manufaaa Yake
 
Back
Top Bottom