Hapo achague mobile account/mobile money akijichanganya tuu itakuja vocha!!!Kulingana na ushauri WA wadau niliamua kumwambia Client anitumie pesa kwa njia tajwa hapo juu, sasa mdau ndo anaendelea na process za kutuma pesa, kakutana na maneno haya, Payout network na Mobile account, nini maana yake?
Aisee ndo hivyo watu wengi wameliwa kwa mtindo huo!! Ni kuwa makini mnoAsante mkuu! Hiyo airtime wangeitoa sa mtu akituma Ma euro yakawa vocha si balaa!
Yeah ni very cheap... Mi natumia sana hiyo... WU watafulia sana na complications zao.Sure! Hata hivyo nimefanikiwa mkuu, hii Ni njia bora Mara 100 kuliko western union
Ni Kweli mkuu mimi mwenyewe nimewakubari World remit halafu haiko complicated ndani ya dakika 10 ushatuma pesa, na ndani ya saa 1 pesa imeshafika, nimewachukia sana Western Union, nadhani Wanapotezwa kabisa!Yeah ni very cheap... Mi natumia sana hiyo... WU watafulia sana na complications zao.