Msaada kuhusu wireless via moderm

Quicklime

Senior Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
177
Reaction score
64
Habari zenu wanajamvi?
Kwa kweli mimi ninapumua,Samahani saana nimesikia kuna uwezekano wa kutengeneza wireless kwa kutumia modem bila routers!plz how can this be done?
natanguliza shukrani za dhati...
 
Tumia term hii "WiFi Hotspot"ku-google nina hakika utapata maelezo ya kutosha na pia utapata s/ware ya kazi hiyo.
 
kwa haraka haraka mi nnachofahamu ni kuwa kuna modem zina uwezo wa kuwa kam router (voda wanazo na baadhi ya maduka ya pc zinakuwepo pia) ambazo we unaweka line ya simu na ku connect kama modem then inakuwa inauwezo wa ku supply kama router pia...zaidi ya hapo labda utumie hizi hotpsot software...kuna dashboard moja ya huawei nadhani ina hii kitu na kuna mtu alishawahi post humu sema sikumbuki heading yake...au pia unaweza kutumia connectify ina sehem ya hotspot..
 
Kama unatumia computer yenye Windows 7 au 8 nakushauri utumie software initwa Virtual Router Manager. Install na ikifunguka itakuwa kama hivi



  1. Hapo kwenye SSID andika jina lolote unalotaka lionekane kama jina la wi fi yako
  2. Hopo kwenye Password: weka unayotaka
  3. Kwenye Shared Connection: Chagua Mobile Broadband Connection
  4. Click Start Virtual Router
Hapo unakuwa tayari umeshatengeneza Wi Fi hotspot na unaweza kuunga simu au computer zinazoweza kupokea wireless internet. kila la heri.
 
Daah asanteni saana wakuu!!
jf imekuwa msaada sana kwangu,asanteni saana kwa kunileaa,dizain ka naenjoy kuwa nanyi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…