Msaada kuhusu windows 8 installation:

Msaada kuhusu windows 8 installation:

Naipuli

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
266
Reaction score
110
Habari wanaJF!
Kwasasa ninatumia Laptop HP 620 yenye specs zifuatazo; RAM 4GB, PROCESSOR 2.33Ghz dual, HDD 500GB, OS WIN7 32bit.
Nahitaji kubadilisha Window kutoka Win7 kwenda Win8;
Nimejaribu kuweka WIN8 64bit imegoma;
1. Je, kuna uwezekano Wa ku-install OS yenye 64bit kwenye PC ilokuwa inarun 32bit?
2. Au kuna WIN8 kwa 32bit OS?
3. Kama kuna mawazo/ushauri mwingine mbadala, nakaribisha.

Nawasilisha!
 
  • Kwa hizi specification, waweza kabisa kuweka Windows 8 x64 bit
  • Angalia Minimum Recommended System requirement
9deYpg

  • Waweza kabisa kubadili, tena ni kama umechelewa kubadili maana sasa tunaisubiri Windows 8.1.1 ambayo itakuwa released April 8, 2014

  • Yawezekana iso ilikuwa corrupt, Pia yawezekana CD uliyokuwa ukitumia ilikuwa na scratch hivyo zoezi zima kukataa.
  • Kwa hizo spec. za PC yako windows 8 x64 bit haiwezi kukataa.

  • Inawezekana kabisa, Ondoa shaka
2. Au kuna WIN8 kwa 32bit OS?
  • Ndio waweza pata Windows 8 OS x32 bit au x64 bit
3. Kama kuna mawazo/ushauri mwingine mbadala, nakaribisha. Nawasilisha!
  • Weka windows 8.1 x64 bit katika PC yako
  • Nitakuwekea Clean Copy ya Windows 8.1 x64 bit soon
  • Karibu

1.Je system yako ni 64bit au 32bit?
2. win8 ipo ya 32 and 64 bit. usiwe na hofu kuhusu hili.
3. ni vizuri sana endapo system yako ni ya 64bit ukaweka windows ya 64 bit coz 64bit OS inatumia RAM vizuri sana (Utilises RAM effectively).

Ni hayo tuu!!!
 
Hiyo installation ulikuwa unafanya kwa dvd au flash kama ni dvd huwa zinasumbuwa sana zikipata mikwaruzo ni bora utengeneze bootale flash ya window8 then kweye boot menu utaset flash ndo iwe ya kwanza then unaboot kama kawaida kama os zingine.
 
Nilikuwa natumia DVD,
Nawezaje kutengeneza hiyo bootable flash ili nijaribu pia nione kama nitafanikiwa.
 
Hiyo installation ulikuwa unafanya kwa dvd au flash kama ni dvd huwa zinasumbuwa sana zikipata mikwaruzo ni bora utengeneze bootale flash ya window8 then kweye boot menu utaset flash ndo iwe ya kwanza then unaboot kama kawaida kama os zingine.

Nilikuwa natumia DVD,
Nawezaje kutengeneza hiyo bootable Flash ili niijaribu na hiyo pia huenda nikafanikiwa.
 
1.Je system yako ni 64bit au 32bit?
2. win8 ipo ya 32 and 64 bit. usiwe na hofu kuhusu hili.
3. ni vizuri sana endapo system yako ni ya 64bit ukaweka windows ya 64 bit coz 64bit OS inatumia RAM vizuri sana (Utilises RAM effectively).

Ni hayo tuu!!!

Mkuu mimi nilikuwa najua OS ndio inakuwa either 32 au 64bit..na pc inaprovide tu platform kwa ajili ya kuinstall OS(32/64)..na kwamba pc inakuwa na RAM na Processor vyenye uwezo wa ku accomodate hizo OSs(32/64bit),kwamba kama RAM & Processor ni ndogo inakubali tu 32bit na kama ni kubwa inakubali zote(32/64bit).. Au mimi ndio nelewa vibaya?!
 
JINSI YA KUTENGENEZA BOOTABLE FLASH
materials😱s, flash ukubwa atleast 4GB na software inaitwa yumi hii ndo itakusaidia kufanya bootable flash.
HATUA ZA KUFUATA
fanya installation ya yumi kama kawaida kisha fungua icon ya yumi kisha fuata maelekezo yake ukiwa umeweka flash yako kwenye port kuna command itakuja ya ku format flash uta click yes then uta browrse/tafuta os image ni lazima uwe na hiyo image ya os yako umeihifadhi kwenye pc yako au nyingine uki select hiyo os unaclick next then kuna option ya kuweka kama ni windows7 au 8 au os nyingine kama linux na xp kisha utafuata maelekezo madogo madogo utakuwa umefanikiwa.
 
Hauwezi kuinstall 64 OS kwenye processor ambayo ni 32Bit.
So unabidi utafute 32Bit version ya Win8. Pia ungeweka error unayopata badala ya kusema tu imegoma nadhani ungepata msaada wa maana zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom