Msaada kuhusu window 8

Msaada kuhusu window 8

Quicklime

Senior Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
177
Reaction score
64
Jamani wanajamvi habari ya saa hizi??mi nauliza ni kweli window 8 haishiki virus?? na kama inashika ni ipi antivirus yake maana nimejaribu karspesky imegoma kusapoti...
nawasilisha!!
 
Windows 8 inaingiza virus kama kawaida isipokuwa yenyewe security yake imekuwa enhanced zaidi ukilinganisha na XP. OS ambayo nimeona kuwa ni virus free ni hizi za Linux mfano Ubuntu.
 
asante sana mkuu!!so antivirus yake ni ipi??
 
Windows 8 inaweza kushika virus ila inakuja built in na antivirus ya Microsoft hivyo hakuna haja ya kuinstal av nyingine, ukiinstal nyingine ya Microsoft itajizima automatically. Pia ukiinstall Apps zs Windows Store hauwezi kupata virus maana hizi zinakaguliwa na MS na pia zinarun nfani ya fensi hazina uwezo wa kuathiri PC.
 
Kaspersky inakubali on Windows 8 ila lazima uwe na internet connection for compactiblity checking and updates!! KAS itadownload kama 170MB updates kabla ya finalization.
 
Back
Top Bottom