Msaada kuhusu window 7,tafadhali soma hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kuhusu window 7,tafadhali soma hapa

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by OME123, Aug 29, 2011.

 1. OME123

  OME123 JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,428
  Likes Received: 190
  Trophy Points: 160
  Jamaani ndugu zangu nimefanya installation ya window seven 7,nimeazima kwa rafiki yangu baada ya kufanya hivyo imeniandkia kuwa window is not genuine,imeacha na kudisplay background ya window seven nifanyaje naomba msaada wenu pliz,natanguliza shukrani zangu
   
 2. Rural Swagga

  Rural Swagga JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  download kitu inaitwa 'Vista 7 slic Loader'
   
 3. HT

  HT JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  download Linux bure uiweke badala ya windows
   
 4. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #4
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 797
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  mpaka uwe na window seven loaders/crack otherwise mwendo vinyohivyo
   
 5. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  wazo zuri lkn vipi katika upatikanaji wa application software kwa linux?
   
 6. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  nenda google, andika linux utapelekwa wapi pa ku download hiyo linux ya bure
   
 7. Kahtan Ahmed

  Kahtan Ahmed JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 510
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  sikieni vijana window cracker haiwezi kufanya kazi ikiwa tayari imeshactivate bali hufanya kazi pale inaponadi kua siku kadhaa zimebaki zikipita sile siku huwezi tena kutatua kwa loder cha msingi inabidi utoe hiyo window na uinstall upya! goodluck!
   
 8. HT

  HT JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  application zipo nyingi tu, sijajua wewe unahitaji zipi!
   
 9. OME123

  OME123 JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,428
  Likes Received: 190
  Trophy Points: 160
  jamani nawashukuru sana.naombeni namba zenu ili tuweze kuongea mnipe maelekezo over the phone-namba yangu ni 0714701242 au 0756777266 waweza kunibeep nitakupigia.natanguliza shukrani zangu kwenu nyote
   
 10. P

  Paul S.S Verified User

  #10
  Aug 31, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
 11. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hii weye mwana mbona unamkatisha tamaa mwenzio. sema weye umeshindwa kuifanyisha kazi. zipo patch za kumwaga zinazo i fool microsoft ili aone kuwa window ni genuine.
   
Loading...