Msaada kuhusu window 11

Iso imetoka ya win 11 insider kama Unashindwa kuweka kawaida, na Microsoft wametangaza yoyote anaweza kuweka hata kama Hana hardware inayosupport win 11. Kwa sasa wanaangalia tu 4gb ram na dual core cpu na free storage ya 64GB.

Link

 
Kwaiyo mkuu hii ni official kabisa hata meme napiga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…