Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Hyo leaked build sio official na ni ya zamani kwahyo vitu vingi vilivyotangazwa leo havipo.
Hyo Windows 11 itakua official kwa kila mtu karibia na miwsho wa mwaka huu. Around October 2021 sio 2022.
Windows 11 sshv inataka PC yako iwe in UEFI mode, iwe na secure boot enabled na iwe na security chip ya TPM version ya 2.0.
Laptop karibia zote za kuanzia 2015 kwenda mbele zina support TPM 2.0 na baadhi ya 2014 models pia zina support hii kitu. Kwa laptop za Intel inaitww Intel Platform Trust Technology (PTT) na za AMD inaitwa fTPM.
Kwa watu wa desktop pia ni hvo hvo.
Kma kifaa chako ni cha zamani sana na hakina at least TPM 2.0 (laptop nyingi za 2013 kushuka chini zina TPM 1.2) Windows 11 haitakuwa officially supported. Kutakua na njia za ku overcome hii limitation ila hakuna official support.
Pia achana na hyo leaked build. Haina chochote cha maana zaidi ya UI improvements kwenye desktop. Week ijayo itatoka Insider Preview ya kwanza ndio itakayo kuwa official na itaanza kuwa na baadhi ya features zilizo tangazwa leo.
Wanabana kweli. Ila hzo requirement zilikuwepo tayari kwa OEM tangia 2012 walivyo release Windows 8. Walishasema toka mda kuwa PC zote zinazoship na Windows 8 kuendelea lazima ziwe na secure boot ON by default na ziwe na TPM 1.2. 2016 ndio waka update na kusema TPM 2.0 ni lazima kwa OEMs wote wanao ship na Windows 10.Windows sasa yaeleka kuwa gereza, restrictions za kipumbavu sana
soon wata minya apps zote ziwe installed from MS Store,
Ngoma tamu hii hapa hahahaHabari za muda huu wana JF, ngoja niende kwenye maada baada ya leo hii kuwa na event ya window 11 nilizania wataachia leo hii official ili tutumie ila niliposikia kuwa. Mpaka mwakani 2022 mwanzoni ndio zitaanza kupatikana. Lakini kabla ya leo kulikuwa kuna window 11 ambayo ilikuwa leakage naimani kuna baadhi ya watu wame install hiyo leakage window 11 nauliza tu. Je to install hiyo leakage au tutulie kwanza?? Na hivi vitu walivyo kuwa wanatangaza leo microsoft vipo sawa na hiyo leakage au tume pigwa??
Chief-Mkwawa View attachment 1828907
Win 11 inahitaji TPM 1.2 tuHyo leaked build sio official na ni ya zamani kwahyo vitu vingi vilivyotangazwa leo havipo.
Hyo Windows 11 itakua official kwa kila mtu karibia na miwsho wa mwaka huu. Around October 2021 sio 2022.
Windows 11 sshv inataka PC yako iwe in UEFI mode, iwe na secure boot enabled na iwe na security chip ya TPM version ya 2.0.
Laptop karibia zote za kuanzia 2015 kwenda mbele zina support TPM 2.0 na baadhi ya 2014 models pia zina support hii kitu. Kwa laptop za Intel inaitww Intel Platform Trust Technology (PTT) na za AMD inaitwa fTPM.
Kwa watu wa desktop pia ni hvo hvo.
Kma kifaa chako ni cha zamani sana na hakina at least TPM 2.0 (laptop nyingi za 2013 kushuka chini zina TPM 1.2) Windows 11 haitakuwa officially supported. Kutakua na njia za ku overcome hii limitation ila hakuna official support.
Pia achana na hyo leaked build. Haina chochote cha maana zaidi ya UI improvements kwenye desktop. Week ijayo itatoka Insider Preview ya kwanza ndio itakayo kuwa official na itaanza kuwa na baadhi ya features zilizo tangazwa leo.
Well explainedHyo leaked build sio official na ni ya zamani kwahyo vitu vingi vilivyotangazwa leo havipo.
Hyo Windows 11 itakua official kwa kila mtu karibia na miwsho wa mwaka huu. Around October 2021 sio 2022.
Windows 11 sshv inataka PC yako iwe in UEFI mode, iwe na secure boot enabled na iwe na security chip ya TPM version ya 2.0.
Laptop karibia zote za kuanzia 2015 kwenda mbele zina support TPM 2.0 na baadhi ya 2014 models pia zina support hii kitu. Kwa laptop za Intel inaitww Intel Platform Trust Technology (PTT) na za AMD inaitwa fTPM.
Kwa watu wa desktop pia ni hvo hvo.
Kma kifaa chako ni cha zamani sana na hakina at least TPM 2.0 (laptop nyingi za 2013 kushuka chini zina TPM 1.2) Windows 11 haitakuwa officially supported. Kutakua na njia za ku overcome hii limitation ila hakuna official support.
Pia achana na hyo leaked build. Haina chochote cha maana zaidi ya UI improvements kwenye desktop. Week ijayo itatoka Insider Preview ya kwanza ndio itakayo kuwa official na itaanza kuwa na baadhi ya features zilizo tangazwa leo.
Basi wanajichanganya wao wenyew. Maana kwenye page ya Windows 11 announcement sehem ya system requirements wanasema TPM 2.0 na tool waliyotoa ya kucheck compatibility inagoma kma una TPM 1.2Win 11 inahitaji TPM 1.2 tu
Ushahidi
Compatibility for Windows 11- Compatibility Cookbook
Learn how to enable your apps are compatible for Windows 11docs.microsoft.com
Hii inayosambaa sasa hivi ni dev version sio final version.
Walikuja ku clarify baadae minimum requirements ni 1.2 kwa hardware na software ndio hio 2.0, software/firmware ni code tu zitaandikwa.Basi wanajichanganya wao wenyew. Maana kwenye page ya Windows 11 announcement sehem ya system requirements wanasema TPM 2.0 na tool waliyotoa ya kucheck compatibility inagoma kma una TPM 1.2
Link:Windows 11 Specifications - MicrosoftView attachment 1829283
Sio mwakani. Ni mwaka huu karibia na mwshoni kma siku zote ilivyoLets wait mwakani siyo mbali
Uazilipia lakiniKiukweli huwa siamini window yoyote ambayo haitoki kwa official provider.Nyingi zinakuwa modified na zimewekewa vidukuzi na elements zingine ambazo hazina maana.
Asante chief kwa maelezoEka leakage at your own risk, hakuna mtu atakaekuhakikishia Ubora wKe inaweza kuwa fake, ina virus, etc
Pia win 11 inataka minimum specs kubwa si kila pc itakubali.
Na kutakua na beta/alpha users soon bora usubirie program kama hio ujiunge.
Umenikomba kila kitu shule iliyo shiba nimekubali mkuuHyo leaked build sio official na ni ya zamani kwahyo vitu vingi vilivyotangazwa leo havipo.
Hyo Windows 11 itakua official kwa kila mtu karibia na miwsho wa mwaka huu. Around October 2021 sio 2022.
Windows 11 sshv inataka PC yako iwe in UEFI mode, iwe na secure boot enabled na iwe na security chip ya TPM version ya 2.0.
Laptop karibia zote za kuanzia 2015 kwenda mbele zina support TPM 2.0 na baadhi ya 2014 models pia zina support hii kitu. Kwa laptop za Intel inaitww Intel Platform Trust Technology (PTT) na za AMD inaitwa fTPM.
Kwa watu wa desktop pia ni hvo hvo.
Kma kifaa chako ni cha zamani sana na hakina at least TPM 2.0 (laptop nyingi za 2013 kushuka chini zina TPM 1.2) Windows 11 haitakuwa officially supported. Kutakua na njia za ku overcome hii limitation ila hakuna official support.
Pia achana na hyo leaked build. Haina chochote cha maana zaidi ya UI improvements kwenye desktop. Week ijayo itatoka Insider Preview ya kwanza ndio itakayo kuwa official na itaanza kuwa na baadhi ya features zilizo tangazwa leo.
Sasa nitajuaje pc yangu ina TMP ya 2Sio mwakani. Ni mwaka huu karibia na mwshoni kma siku zote ilivyo
TPM 2Sasa nitajuaje pc yangu ina TMP ya 2