Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
Wakuu salam..
Wakuu nimebahatika kukaa/kufika Mikoa mingi ya Nchi hii isipokuwa Rukwa na Kigoma. Sasa nimepata shughuli/kazi inayonilazimu kwenda Sumbawanga kwa muda mrefu zaidi ya mwaka.
Sasa wenyeji wa huko naomba mnipe au mniambie uzuri wa Wilaya hiyo maana katika fikra zangu kichwani kwamba ni sehemu mbaya sana na pia ni Wilaya masikini sana, yawezekana nikawa sahihi au sio sahihi kutokana na kutokua na ufahamu wa kutosha wa Wilaya hiyo.
Nataka kujua ili nione kama naweza kwenda au la,j e ikoje, uzuri wake kwa mfano ukilinganisha na Wilaya zilizo Mikoa ya karibu kama Tabora mjini, Shinyanga, Kahama nk.
Natanguliza shukrani.