Ondoa shaka mkuu, utafanya backups zitarudi zoteNikifanya hivyo massages hazitofutika? Za zamani?
Nikifanya hivyo massages hazitofutika? Za zamani?
[emoji3][emoji3]aachane nazo vp wkt kuna nondo zake hukoAchana nazo
Afanye backup zirudi tena??au restore??Ondoa shaka mkuu, utafanya backups zitarudi zote
Sorry, nilichanganya mafaili kidogo mkuu...atarestore lakini ili azipate texts zake zote za nyuma ni lazima awe ameruhusu kufanya backup kwa google drive la sivyo hata akija restore hatopata chochoteAfanye backup zirudi tena??au restore??
Hapo sasa umeeleza vizuri kabisa.Sorry, nilichanganya mafaili kidogo mkuu...atarestore lakini ili azipate texts zake zote za nyuma ni lazima awe ameruhusu kufanya backup kwa google drive la sivyo hata akija restore hatopata chochote
Toka Jana nimekuuliza mkuu maana WhatsApp web ipo lakini nikiingia inanipeleka kwenye maandishi yameandikwa 'Got it' then inaniambia niscarn sasa hapo ndio inanipoteza maana kwa maelekezo hayo nafaham kama unataka kusoma texts za mtu lazima ukascarn hapo sasa hebu fafanua hiyo WhatsApp web ipi mkuuGb whatsapp ina option ya kuzuia message kuingia hata kama data ipo on, isije kua uli activate hiyo mode
Umeambiwa Gb wasap sio wasap web mkuuToka Jana nimekuuliza mkuu maana WhatsApp web ipo lakini nikiingia inanipeleka kwenye maandishi yameandikwa 'Got it' then inaniambia niscarn sasa hapo ndio inanipoteza maana kwa maelekezo hayo nafaham kama unataka kusoma texts za mtu lazima ukascarn hapo sasa hebu fafanua hiyo WhatsApp web ipi mkuu