Msaada Kuhusu Website ya Wizara ya Afya Tanzania

Msaada Kuhusu Website ya Wizara ya Afya Tanzania

anjnr

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
539
Reaction score
209
Habarini jamani! Napata shida kufungua doc zilizowekwa kwenye website ya wizara ya afya zilizowekwa siku za karibuni, napata ujumbe HTTP 404 Not Found. Kwa wataalam hii maana yake nini? Nimeshindwa kujua kama ni tatizo la komputa yangu au la. Nahitaji kuisoma hiyo document ya "KUPANGIWA KAZI MAAFISA WATEKNOLOJIA DARAJA LA II". Naomba kwa anayejua namna naweza kuifungua au kuipata kwa namna nyingine anisaidie. Thank you in advance.
 
Link waliyoweka inakupeleka tofauti na document zilipo.
Wasiliana na web master wao atakusaidia kurekebisha!
 
Back
Top Bottom