nundaz
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 272
- 193
heshima kwa wadau wote.jamani naombeni kueleweshwa kuhusu hii website ya TAMISEMI tangu juzi najaribu kufungua kujua hatima ya sisi ya sisi walimu tulokosa ajira. Imekuwa ikiandika LOADING 45% Mara 79% hivi hii inakuwa na maaana gani ikionyesha hivyo? kuna upload zozotebzinafanyika au ni kawaida website kuandika hivyo? naombeni kupewa elimu kuhusu hilo swala la hyo website wana jamvi