tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,317
ndoa ya mtu unaemfaham AU ndoa za watu unaowafaham!!!!!!!!!!!!!!
Watu,, kiswahili shida..
ndoa ya mtu unaemfaham AU ndoa za watu unaowafaham!!!!!!!!!!!!!!
Waswahili wanapenda sana ushirikina wana husudu extended family.
Sijawahi kudate mnyamwezi lakini nimeona kupitia ndoa ya mtu ninaemfahamu.
Watu,, kiswahili shida..
mnhhhhh
Watupe heshima yetuwanyamwezi mbona tupo poa sana jamani,
we umeona mpaka bland name yetu imekuwa ikitumika kumaanisha ulaya,
kumbuka mzungu au mtu akienda ulaya wabongo walikuwa wakitumia kusema...kaenda unyamwezini,au mnyamwezi...
hebu tupeni heshima tunayo stahili,
Watupe heshima yetu
Eti anatokea mtu anasema ni wavivu si watafutaji, nafikiri hawajui historia ya nchi hii wana igembensabhosana mkuu, tunastahili heshima.tena hata kihistoria katika nchi yetu wanyamwezi tumechangia sana kujenga taifa letu.
wana-mboka tunahitaji kuheshimiwa aisee