Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,536
- 31,685
Wadau napenda kujua vyura huwa wanazaliana vipi? Nauliza kwasababu baada tu ya mvua kunyesha wanaanza kupiga makelele, huku niliko mvua imenyesha jana na leo tu...ila saiz huko nje ni makelele matupu!!
Je huwa wanakuwa tu mahali baada ya mvua ndipo wanajitokeza? Kama wanazaliana je source yao inakuwa/inatoka wapi? Je baada ya mvua kuisha/madimbwi kukauka wanapotelea wap?
Je huwa wanakuwa tu mahali baada ya mvua ndipo wanajitokeza? Kama wanazaliana je source yao inakuwa/inatoka wapi? Je baada ya mvua kuisha/madimbwi kukauka wanapotelea wap?