Kaluluma
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 474
- 622
Habari za leo wakuu,
Ninaomba mwenye ufahamu kuhusu ving'amuzi vya Tanzania yaani DSTV, AZAM, ZUKU nk. Kipi kina unafuu katika vifurushi; kwa upande wangu napendelea tamthilia za Kitanzania kama Huba, Kitimtim n.k.
Itapendeza kama utanitajia na bei za kununulia visimbuzi hivyo pamoja na gharama za ufungaji. Napatikana Dodoma.
Natanguliza shukrani