Msaada kuhusu video formats...

Msaada kuhusu video formats...

Elai

Senior Member
Joined
May 26, 2011
Posts
156
Reaction score
11
Nina video katika FLV format. Je, niweke katika format ipi ili ni-burn katika CD? Pia, software ipi nitaweza kuitumia kuipele video katika format husika? Ninatanguliza shukrani kwa mchango wa mawazo.
 
mkuu nakushauri uipeleke katika .avi, pia unaweza kupeleka kwenye DIVX but inategemea kama player yako ina support. tumia total video converter mkuu.
 
Ninashukuru kwa ushauri,ninaufanyia kazi.
 
Back
Top Bottom