msaada kuhusu video call....

msaada kuhusu video call....

Krama

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
293
Reaction score
80
Wakuu naomba kufahamishwa kuhusu video call ya direct from sim contacts(bila kutumia apps kama skype, tango, viber, wechat) inapatikana katika mitandao gan tz? Na lazma kuwe na coverage ya 3G? Then cost ni zile zile kama za voice call?? Msaada wakuu
 
Kama simu yako ina front camera,mpigie mwenye front camera kwa kufanya hivi...nenda kwenye contact husika (unayetaka kumpigia) nenda option(inategemea simu yako,kama ni soft touch jaribu ku hold hiyo contact) kisha video call....hakikisha unayempigia ana video call,haihitaji internet access na inacost gharama zile zile za voice call
 
nimejaribu mkuu, voda imekubali ila mitandao mingine inakataa mf tigo inaniandikia video call failed, thanx anyway
 
Back
Top Bottom