Scolari JF-Expert Member Joined Aug 25, 2017 Posts 1,723 Reaction score 2,419 May 27, 2021 #1 Je hiyo amount iliyowekwa hapo ambayo imeeleza kuhusu clearing na forwarding ni tofauti na ile ya TRA? Maana yake ukitoka hapo ndio unaenda TRA tena? Mungu tusaidie sisi watanzania wenye ndoto za kumiliki magari.
Je hiyo amount iliyowekwa hapo ambayo imeeleza kuhusu clearing na forwarding ni tofauti na ile ya TRA? Maana yake ukitoka hapo ndio unaenda TRA tena? Mungu tusaidie sisi watanzania wenye ndoto za kumiliki magari.
Prodigy Oligarchy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2020 Posts 571 Reaction score 656 May 27, 2021 #2 Hizo ni gharama za manunuzi hadi kuifikisha hapa. Option ya clearing and forwarding ni kwaajili ya kukutolea gari lako bandarini ukishalipia ushuru na gharama zinginezo za bandari. Ushuru wa hiyo gari ni Tzs 41,379,000/=
Hizo ni gharama za manunuzi hadi kuifikisha hapa. Option ya clearing and forwarding ni kwaajili ya kukutolea gari lako bandarini ukishalipia ushuru na gharama zinginezo za bandari. Ushuru wa hiyo gari ni Tzs 41,379,000/=
Joowzey JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 13,164 Reaction score 13,549 May 27, 2021 #3 Una ndoto za kumiliki gari halafu unaangalia rav4 adventure?
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 13,313 Reaction score 42,860 May 27, 2021 #4 Hilo gari mpaka linatembea barabaran unatakiwa uwe na milion 170-180
Joowzey JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 13,164 Reaction score 13,549 May 27, 2021 #5 pureView Zeiss said: hilo gari mpaka linatembea barabaran unatakiwa uwe na milion 170-180 Click to expand... Si kweli! Acha kupotosha we mzee ndo maana umenunua rumion kwa kufwata mkumbo
pureView Zeiss said: hilo gari mpaka linatembea barabaran unatakiwa uwe na milion 170-180 Click to expand... Si kweli! Acha kupotosha we mzee ndo maana umenunua rumion kwa kufwata mkumbo
Masanja JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 5,455 Reaction score 10,866 May 27, 2021 #6 Ila parefu aisee....100M+ kwa Rav4? au mimi ndo sijaelewa?
Joowzey JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 13,164 Reaction score 13,549 May 27, 2021 #7 Scolari said: Kwani hizi hazitakiwi kununuliwa na binadamu? Ni za wanyama? Click to expand... Ni sawa na Mtu anaetaka kuanza kujenga nyumba yake ya Kwanza halafu anaulizia ramani ya ikulu ili ajenge Kama Ile.
Scolari said: Kwani hizi hazitakiwi kununuliwa na binadamu? Ni za wanyama? Click to expand... Ni sawa na Mtu anaetaka kuanza kujenga nyumba yake ya Kwanza halafu anaulizia ramani ya ikulu ili ajenge Kama Ile.
Joowzey JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 13,164 Reaction score 13,549 May 27, 2021 #8 Masanja said: Ila parefu aisee....100M+ kwa Rav4? au mimi ndo sijaelewa? Click to expand... Nn Rav 4..zipo mpaka crown,harrier za 100m+
Masanja said: Ila parefu aisee....100M+ kwa Rav4? au mimi ndo sijaelewa? Click to expand... Nn Rav 4..zipo mpaka crown,harrier za 100m+
Joowzey JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 13,164 Reaction score 13,549 May 28, 2021 #9 Scolari said: Swala ni pesa na sio haya mawazo yako unayoyasema Kwani ukitaka kununua gari kuna grade kwamba lazima uanze na kama hako ka bebi wolka unakokawaza? Click to expand... Sawa anza na hyo Rav 4 adventure iko poa Sana..hutojutia pesa yako mzee
Scolari said: Swala ni pesa na sio haya mawazo yako unayoyasema Kwani ukitaka kununua gari kuna grade kwamba lazima uanze na kama hako ka bebi wolka unakokawaza? Click to expand... Sawa anza na hyo Rav 4 adventure iko poa Sana..hutojutia pesa yako mzee
Troll JF Platinum Member Joined Feb 6, 2015 Posts 9,289 Reaction score 13,725 May 29, 2021 #10 Nunua lilitongenezwa South Africa yana SADC preferential
Scolari JF-Expert Member Joined Aug 25, 2017 Posts 1,723 Reaction score 2,419 Oct 25, 2022 Thread starter #11 Troll JF said: Nunua lilitongenezwa South Africa yana SADC preferential Click to expand... Sawa mkuu Manake kodi inapungua
Troll JF said: Nunua lilitongenezwa South Africa yana SADC preferential Click to expand... Sawa mkuu Manake kodi inapungua