msaada kuhusu upgrading ios

msaada kuhusu upgrading ios

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,944
Reaction score
810
kwa anayefahamu program ya kufanya download ya ios i resume pale ilipoishia maana ukubwa wake ni 1gb ukianza kudownload kupitia itunes net ikikatika hata kam imefikia 899mb ikianza inaanza na moja haiendelei na pale ilipoishia sasa inakuwa ni shida!
 
ingia hapa ( iClarified - iPhone - Where To Download iPhone Firmware Files From ) au ( http://www.ipswdownloader.com/download-iphone-ipsw-files.php ) download ios yoyote ya simu yako alafu restore kwa itunes (hold SHIFT key then click RESTORE). hivyo inakuwa rahisi zaidi tena kama upo na internet download accelerator utadownload fasta. iTunes inasumbuaga sana huwa inahitaji uwe na internet connection yenye spidi kubwa..
 
ingia hapa ( iClarified - iPhone - Where To Download iPhone Firmware Files From ) au ( http://www.ipswdownloader.com/download-iphone-ipsw-files.php ) download ios yoyote ya simu yako alafu restore kwa itunes. hivyo inakuwa rahisi zaidi tena kama upo na internet download accelerator utadownload fasta. iTunes inasumbuaga sana huwa inahitaji uwe na internet connection yenye spidi kubwa..

Ngoja niingie mkuu nitakupa matokeo maana imenisumbua sana na mitandao yetu ni ya speed ya kobe
 
Back
Top Bottom